KOZI YA USHAURI WA KIUFUNDI

Kozi hii hutolewa kwa siku saba, kuanzia jumatatu hadi jumapil. Kozi hii huusisha elimu ya ulinzi dhidi ya vimelea,usiamamizi wa shamba,usimamizi wa mazingira na utatuzi wa shida. Kozi hii huusisha elimu ya utatuzi wa shida anazokutana nazo mkulima. Mfugaji pia atajifunza jinsi ya kumpasua kuku na kuona mabadiliko ya ndani. Bila kusahau elimu ya uongozi na mawasiliano shambani. pia kinachohitajika katika kozi hii ni kukamilisha kati ya kuku wa Nyama ,Mayai au ufugaji wa kuku kiujumla

LIPIA SASA!

Wasiliana nasi