VIFAA VYA MAFUNZ
Tunajifunza kuwa na vifaa bora vya mfunzo. Tuna kila kiutu kitakachokufanya ujisikie uko nyumbani.
Jengo la utawala
Jengo la utawala lina darasa, sehemu ya mapokezi na vyoo.



Nyumba za wageni
Sehemu ya kufikia wageni ipo na vyumba sita, kila chumba kina vitanda viwilina makabati mawili ya kuwekea nguo zako

Sehemu ya chakula
Ni sehemu ambayo unaweza kuwa huru ukifurahia chakula na kufahamiana na wenzako

Nyumba za kuku
Tunajivunia kuwa na sehemu bora ya kufanyia mafunzo kwa vitendo. Tuna nyumba 5 za kuku wa nyama zikiwa na kuku wa umri tofouti na nyumba 2 za kuku wa mayai wa umri tofoui.
