SHUHUDA

Sister Bernadetha Kessy - Mwanza

"Biashara yangu ya kuku imekuwa zaidi baada ya kuhuhudhuria maunzo hasa ya uleaji wa vifaranga, " Natamani ningeendelea kukaa hapo ili kujifunza zaidi"

Mwanamvua Ngocho - Dar Es Salaam

'Uzoefu wangu katika chuo cha ufugaji kuku, umeninufaisha zaidi hasa mafunzo kwa vitendo"

Elineema Kivuyo - Arusha

"Nimeongeza uzalishai wa kuku kutoka kuku 20-100 na nitaendelea kukua zaidi. Ahsanteni sana.

Dua Mkodiwa - Masasi

"Endeleni kutoa elimu. Mafunzo yamenihamasisha sana na nitaendelea kutoa mafunzo kwa wengine."

Amasha k. Mmila - Njombe

" Ahsanteni sana kwa mafunzo niliyoyapata kutoka kwenu. Kwa upande wangu nimenufaika vya kutosha, hasa kumjua sasso. Ahsante kwa kuwa na walimu bora."