KOZI

Tunatoa kozi maalamu ya ufugaji kuku, ili kumwezesha kila mmoja anayetaka kufuga kuku, kwa ngazi yoyote bila kujali wapi atokapo.

Kozi zote zina masomo ya darasani na mafunzo kwa vitendo. mafunzo kwa vitendo yanahusisha kutembelea sehemu ya kuangulia vifaranga na  kiwanda cha chakula.

Vifaa vya mafunzo vinaenda na wakati kulingana na mabadiliko ya ufugaji.

Ufugaji wa kuku wa nyama

Jifunze kuwalea kuku wa nyama kwa ufanisi zaidi

Uleaji wa vifaranga

Kozi inahusisha uleaji wa vifaranga kw siku 28 za mwanzo

Ufugaji wa kuku wa mayai

Jifunze mbinu bora za kupata mayai kutoka kwa kuku wako wa mayai

Pata ushauri wa kiufundi

Pata uelewa kuhusu uleaji wa kuku wa nyama na mayai

Ufugaji wa kuku kwa ujumla

Pata elimu ya ufugaji wa kuku wa nyama na mayai