KOZI YA ULEAJI WA VIFARANGA

Kozi hii ni miongoni mwa mradi wa APMI, lakni kila mmoja anakaribishwa kujiunga. Kama wewe ni mfugaji na unahitaji kuuza kuku wako wa siku 28, kozi hii itakufaa. Hutolewa kwa siku tano kuanzia jumatatu hadi ijumaa. Utajifunza mbinu bora za uleaji vifaranga. Masomo kuhusu joto, mzunguko wa hewa, chanjo na afya ya kuku hufundishwa na mengi zaidi.

LIPIA SASA!

Wasiliana  nasi