Mafunzo kwa afrika
KUKU MMOJA KWA WAKATI
TANGAZO...HABARI NJEMA!
KOZI ZETU ZIME HIDHINISHWA NA LITA (Livestock Training Agency)
na SUA (Sokoine University of Agriculture)
KOZI
Tunatoa mafunzo yakinifu kuhusu ufugaji wa kuku ili kuwawezesha wafugai kufikia malengo na kufanikiwa zaidi katika ufugaji wa kuku
Lengo letu kuu na la kwanza ni kutoa huduma bora kwa wageni wetu.
Waweza soma shuhuda zao baada ya kupata mafunzo toka kwetu
VIFAA VYA MAFUNZO
Chuo chetu cha mafunzo kipo sehemu tulivu karibu na kijiji cha Ihemi, kilometa 36 toka Iringa mjini pembezoni mwa barabara iendayo Mbeya.
Tunatoa elimu katika mazingira bora yanayojenga urafiki.
KUHUSU SISI
Chuo cha mafunzo kilianzishwa mwaka 2016. lengo ni kuwafikia wafugaji wadogowadogo, mashirika yasiyo ya kiserikali, Idara za serikali na kutoa mafunzo ya kuku kwa kina na kwa muda mfupi.
WASILIANA NASI
Makota Farm, Ihemi
Iringa
Tanzania
Contact Numbers:
+255 766 649 473
+255 623 900 091
Email Address:
or