KOZI YA UFUGAJI KUKU WA MAYAI

Ni kozi ya siku 5, hutolewa kuanzia siku ya jumatatu hadi ijumaa, itakuwezesha kupata mayai bra kutoka kwa kuku wako wa mayai, kwa kuzingatia ratiba ya mwanga, ratiba ya ulishaji chakula na kuzingatia mbinu bora za udhibiti wa vimelea. Na pia itakuwezesha kutambua dalili za mwanzo zitakazo kuambia kwamba kuku wako ni wagonjwa. Elimu ya biashara, masoko na utunzaji kumbukumbu ni miongoni mwa vitu vitakavyoundishwa.

IMG_6765-33.jpg
IMG_6768-35.jpg

LIPIA SASA!

Wasiliana nasi

Thanks for submitting!