KOZI YA ULEAJI WA KUKU WA NYAMA

Ni kozi ya siku tano, hutolewa kuanzia siku ya jumatatu hadi siku ya ijumaa. Itakujenga wewe mfugaji kupata elimu ya bora kuhusu kuku wa nyama. Ili kuweza kupata uzito stahiki ndani ya muda mfupi, elimu ya FCR, masuala ya masoko , biashara na utunzaji kumbukumbu ni miongoni wa vitu utakavyojifunza.

IMG_6717-7.jpg
IMG_6710-3.jpg

LIPIA SASA!

Wasiliana nasi

Thanks for submitting!